Loading...

Kuna simulizi inayokunjuka. Ni simulizi ya maendeleo ya wanadamu kihistoria, ikichochewa na mafundisho ya Mitume wa Mungu Ambao wameiongoza jamii ya wanadamu kwenye hatua zake za ukuaji, na sasa kwenye mapambazuko ya ukomavu wake.

Miaka mia mbili iliyopita, kielelezo wa Kinabii kama huyo alitokea: Bahá’u’lláh. Alileta mafundisho kwa wakati huu ambayo huwakilisha kukoma kwa mgawanyiko na utofauti, ambayo kupitia kwayo—hatimaye—umoja wa wanadamu unaweza kufikiwa.

Fahamu zaidi kupitia shuhuda za watu kutoka mataifa mbalimbali ambao maisha yao yamebadilishwa kwa nuru ambayo Bahá'u'lláh ameileta ulimwenguni.

Download the film

Before downloading please refer to the Terms of use.

Terms of use

© Bahá’í World Centre, 2017.

Subject to the following restrictions this film may be freely reproduced in whole or in part without the need to obtain special permission:

  1. The Bahá’í World Centre retains full copyright protection for this film;

  2. You acquire no rights to or license over the content other than the limited right to use the film in accordance with these terms;

  3. You may reproduce, copy, distribute, publish, or display the film in whole or in part for any non-commercial use [for Bahá’í communities only],but you cannot modify, edit, create derivative works from it or use it in any manner inconsistent with its original intent;

  4. This copyright notice must always be attached to any reproduction of this work.

{{ close }}

MP4 – Standard quality

MP4 – High quality