Kuwasiliana na Asasi za Kibahá’í

Imani ya Kibahá’í imeanzishwa katika maeneo zaidi ya 100,000 takribani katika kila nchi na majimbo kote ulimwenguni. Katika ngazi ya kitaifa, masuala ya jumuiya ya Kibahá’í yanaongozwa na Mabaraza ya Kiroho ya Kitaifa, na orodha ya tovuti kwa ajili ya jumuiya nyingi za kitaifa za Kibahá’í zinaweza kupatikana kwenye Ukurasa wa Jumuiya za Kitaifa.

Kutoa taarifa ya matatizo ya kiufundi

Kutoa taarifa ya tatizo la kiufundi katika tovuti hii, tafadhali tuma maelezo ya kina na picha ya tatizo iliyopigwa juu ya kioo, sambamba na anuani ya ukurasa ambamo tatizo limetokea, kwa webmaster@bahai.org. Tafadhali kumbuka kuwa anuani hii ya barua pepe ipo kwa ajili ya kupokea taarifa za matatizo ya kiufundi ya tovuti na haiwezekani kujibu maswali mengine kupitia kituo hiki.