Imani Ya Kibahá’í
Taarifa za Kisheria
Haki miliki
Zana zote kwenye tovuti hii, zikijumuisha lakini zisizoishia tu kwa, maandishi, picha, taswira, michoro, ramani, vipande vya sauti, na vipande vya video (“Yaliyomo”) zimelindwa kwa haki miliki, nembo ya kibiashara, na haki zingine za kitaaluma za mali. Jumuiya ya Kibahá'í ya Kimataifa hubaki na ulinzi kamili wa kisheria kwa ajili ya maudhui yake chini ya sheria zote husika za kitaifa na kimataifa.
Faragha
Wasomaji kwenye Tovuti hii hawafuatiliwi, isipokuwa kutoa taarifa za kitakwimu za jumla ambazo haziwaainishi watumiaji binafsi. Pale ambapo kidakuzi zimetumika kuleta utendaji muhimu, hizi hazitumiki kufuatilia matumizi ya tovuti au kuhifadhi habari binafsi zinazotambulika. Hatua zimechukuliwa kulinda habari zote zilizokusanywa kutoka upatikanaji, utumiaji au ufunuzi usioidhinishwa. Tafadhali kumbuka kuwa tovuti hii inaweza kujumuisha viunganishi kwenye tovuti zenye sera tofauti za faragha.
Masharti ya Utumiaji
Unakaribishwa kupata na kutumia Maudhui ya tovuti hii kwa masharti yafuatavyo:
Maudhui hayapaswi kutumiwa kwa njia ambayo haiwakilishi dhamira ya chanzo halisi.
Ikiwa unataka kutumia Maudhui yoyote, sharti yaambatane na taarifa ifuatayo: “Haki miliki © Jumuiya ya Kimataifa ya Kibahá’í” pamoja na kunukuu chanzo hiki inapofaa. Nukuu inapaswa pia kujumuisha jina la mwandishi binafsi wa Maudhui hayo, katika hali ambapo mwandishi binafsi ametajwa.
Maudhui ya Sauti na Picha yakiwemo vipande vya video, vipande vya sauti, ramani na picha vinaweza kukatwa na kurekebishwa kwa ajili ya ukubwa. Hakuna mabadiliko mengine yanayoruhusiwa. Kila mtumiaji wa maudhui ya Sauti na Picha anapewa leseni yenye kikomo, isiyo ya kipekee ya kutumia, kunakili, kusambaza, kuweka kiunganishi na/au kuonyesha maudhui haya mradi tu dhamira, tabia, asili au maana ya maudhui haijabadilishwa, na mwandishi binafsi ametajwa, pale ambapo mwandishi binafsi ametajwa.
Matumizi yoyote ya kibiashara yanahitaji kupata ruhusa kabla ya kutumia. Kwa maswali, tafadhali tuma barua pepe kwa termsofuse@bahai.org
Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa inayo haki ya kuondoa ruhusa ya kutumia Maudhui muda wowote na kwa matumizi yoyote. Katika hali hiyo, matumizi ya maudhui sharti yasitishwe mara moja.
Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa haiungi mkono au kuchukua wajibu kwa ajili ya matumizi ya upande wa tatu wa Maudhui. Zaidi, Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa haitawajibika au kuhusika kwa mtu yeyote au shirika kwa aina yoyote ya moja kwa moja, dharura, madhara, usio wa moja kwa moja, au adhabu ya uharibifu ambao unaweza kusababishwa na kutokana na upatikanaji wa au utumiaji wa Maudhui haya. Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa haitawajibika kwa upotevu wowote au uhusikaji wa mtu yeyote au shirika kwa njia yoyote ile ya moja kwa moja, dharura, madhara, usio wa moja kwa moja, au adhabu ya uharibifu ambao unaweza kusababishwa na upatikanaji wa au utumiaji wa Maudhui.
Masharti haya yanaweza kurekebishwa wakati wowote bila kutoa taarifa. Iliyohuishwa mwisho tarehe 05 Septemba 2022.


