Imani Ya Kibahá’í
Filamu
Chaguo la filamu zilizotengenezwa na Kituo cha Ulimwengu wa Bahá'í.
Mfano Wa Kuigwa

Filamu maalum kuhusu maisha ya ‘Abdu’l-Bahá na athari yake kubwa kwa watu wa zamani na wa sasa.
Vidokezo vya Jitihada ya Miaka Mia Moja

Filamu hii inatoa mtazamo kuhusu miaka mia moja ya jitihada na kujifunza zilizofanywa na jumuiya ya Bahá’í inayokua tangu kupaa kwa ‘Abdu’l-Bahá mnamo 1921.
Kuchomoza kwa Mwanga

Filamu inayofuatilia utafutaji binafsi wa ukweli na maana uliofanywa na watu wanane kutoka sehemu tofauti za dunia.
Mwanga kwa Ulimwengu

Makala ya filamu kuhusu maisha na mafundisho ya Bahá’u’lláh.
Filamu


